Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 109

Zaburi 109:8-16

Help us?
Click on verse(s) to share them!
8Siku zake na ziwe chahe; mamlaka yake na yachukuliwe na mtu mwingine.
9Watoto wake wawe yatima, na mke wake awe mjane.
10Watoto wake wenye kutanga tanga na kuombaomba, wakiondoka katika nyumba zao zilizo haribika na kuomba chakula au pesa kwa wapita njia.
11Mdai na achukue vitu vyake vyote amilikivyo; wageni wateke mapato ya kazi yake.
12Asiwepo mtu yeyote wa kumfanyia wema; mtu yeyote asiwahurumie yatima wake.
13Watoto wake waangamizwe; majina yao na yafutwe katika kizazi kijacho.
14Uovu wa baba zake utajwe kwa Yahwe; na dhambi ya mama yake isisahaulike.
15Hatia zao na ziwe mbele ya Yahwe siku zote; Yahwe na aiondoe kumbukumbu yao duniani.
16Yahwe na afanye hivi kwa sababu mtu huyu kamwe hakusumbuka kuonesha uaminifu wa agano wowote, lakini badala yake aliwasumbua wanyonge, wahitaji, na kuwaua walio vunjika moyo.

Read Zaburi 109Zaburi 109
Compare Zaburi 109:8-16Zaburi 109:8-16