Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi

Zaburi 133

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Tazama, jinsi ilivyo vema na yakupendeza ndugu waishi pamoja, kwa umoja!
2Ni kama mafuta mazuri kichwani yashukayo ndevuni. Ndevu za Haruni, na yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
3Ni kama umande wa Hermoni uangukao milimani pa Sayuni. Maana huko ndiko Bwana alipoamuru baraka, naam uzima milele na milele.