Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi

Zaburi 134

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Njoni, mtukuzeni Yahwe, enyi nyote watumishi wa Yahwe, ninyi mnaotumika hekaluni mwa Yahwe wakati wa usiku.
2Inueni mikono yenu patakatifu pake na mtukuzeni Yahwe.
3Mungu na awabariki toka Sayuni, yeye aliye ziumba mbingu na nchi.