Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 99

Zaburi 99:1-3

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Yahwe anatawala; mataifa na yatetemeke. Ameketi juu ya makerubi; nchi inatetemeka.
2Yahwe ni mkuu katika Sayuni; naye ametukuka juu ya mataifa yote.
3Nao walisifu jina lako kuu na lenye kutisha; yeye ni mtakatifu.

Read Zaburi 99Zaburi 99
Compare Zaburi 99:1-3Zaburi 99:1-3