Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 126

Zaburi 126:2-6

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2Vinywa vyetu vilijawa na vicheko na ndimi zetu zilijawa na kuimba. Kisha wakasema kati ya mataifa, “Yahwe amewatendea mambo makuu.”
3Yahwe alitufanyia mambo makuu; ni furaha gani tuliyokuwa nayo!
4Ee Yahwe, uwarejeshe mateka wetu, kama vijito vya kusini.
5Wale wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.
6Yeye aendaye akilia, akibeba mbegu kwa ajili a kupanda, atarudi tena kwa kelele za furaha, akileta miganda yake.

Read Zaburi 126Zaburi 126
Compare Zaburi 126:2-6Zaburi 126:2-6