Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 85

Zaburi 85:4-7

Help us?
Click on verse(s) to share them!
4Uturejeshe sisi, Ee Mungu wa wokovu wetu, na uikomeshe chuki yako juu yetu.
5Je! Utaendelea kuwa na hasira juu yetu milele? utadumisha hasira kizazi chote kijacho?
6Je, hautatuhuisha tena? Kisha watu wako watafurahia katika wewe.
7Utuoneshe sisi uaminifu wa agano lako, Yahwe, utupe sisi wokovu wako.

Read Zaburi 85Zaburi 85
Compare Zaburi 85:4-7Zaburi 85:4-7