Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 39

Zaburi 39:1-2

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Niliamua, “Nitakuwa mwangalifu kwa kile nisemacho ili kwamba nisitende dhambi kwa ulimi wangu. Nitaufumba mdomo wangu niwapo uweponi mwa mtu mwovu.”
2Nilikaa kimya; Nilizuia maneno yangu hata kuongea lolote zuri, na maumivu yangu yalizidi sana.

Read Zaburi 39Zaburi 39
Compare Zaburi 39:1-2Zaburi 39:1-2