Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 19

Zaburi 19:12-14

Help us?
Click on verse(s) to share them!
12Ni nani ambaye aweza kuyatambua makosa yake yote mwenyewe? Unitakase makosa yaliyo fichika.
13Pia umuepushe mtumishi wako na dhambi za majivuno; usiziruhusu kunitawala. Ndipo nitakuwa mkamilifu, na mimi sitakuwa na hatia ya makosa mengi.
14Maneno ya midomo yangu na mawazo ya moyo wangu nayakubalike machoni pako, ewe Yahwe, mwamba wangu na mkombozi wangu.

Read Zaburi 19Zaburi 19
Compare Zaburi 19:12-14Zaburi 19:12-14