Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 9

Zaburi 9:18-20

Help us?
Click on verse(s) to share them!
18Kwa kuwa mhitaji hata sahauliwa siku zote, wala matumaini ya wanyonge hayatapotea milele.
19Inuka, Yahweh, usimruhusu mtu kutushinda; mataifa na wahukumiwe mbele zako.
20Bwana, waogopeshe; mataifa waweze kutambua kuwa ni wanadamu tu. Selah

Read Zaburi 9Zaburi 9
Compare Zaburi 9:18-20Zaburi 9:18-20