Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 3

Zaburi 3:2-5

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2Ni wengi wanaonisema, “Hakuna msaada wowote kutoka kwa Mungu kwa ajili yake.” Selah
3Bali wewe, Yahweh, u ngao yangu pande zote, utukufu wangu, na uniinuaye kichwa changu.
4Nampazia Yahweh sauti yangu, na yeye ananijibu kutoka katika mlima wake mtakatifu.
5Nilijilaza chini na kusinzia; na niliamka, kwa kuwa Yahweh alinilinda.

Read Zaburi 3Zaburi 3
Compare Zaburi 3:2-5Zaburi 3:2-5