9Msifuni yeye, enyi milima na vilima, miti ya matunda na mierezi yote,
10wanyama pori na wanyama wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege.
11Msifuni Yahwe, wafalme wa nchi na mataifa yote, wakuu na watawala wote wa nchi,
12wote vijana wa kiume na vijana wa kike, wazee na watoto.