Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 148:9-12 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 148:9-12 in Biblia ya Kiswahili

9 Msifuni yeye, enyi milima na vilima, miti ya matunda na mierezi yote,
10 wanyama pori na wanyama wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege.
11 Msifuni Yahwe, wafalme wa nchi na mataifa yote, wakuu na watawala wote wa nchi,
12 wote vijana wa kiume na vijana wa kike, wazee na watoto.
Zaburi 148 in Biblia ya Kiswahili