Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 141

Zaburi 141:3-5

Help us?
Click on verse(s) to share them!
3Ee Yahwe, uweke mlinzi kinywani mwangu; mngojezi malangoni pa midomo yangu.
4Usiruhusu tamaa ya moyo wangu kutamani uovu wowote wala kushiriki katika matendo ya dhambi na watu waishio maovuni. Nisile vyakula vyao vya anasa.
5Mwenye haki na anipige; nao utakuwa ni wema kwangu. Anirudi; itakuwa kama mafuta kichwani pangu; kichwa changu na kisikatae kupokea. Lakini maombi yangu siku zote yatakuwa dhidi ya matendo yao mauvu.

Read Zaburi 141Zaburi 141
Compare Zaburi 141:3-5Zaburi 141:3-5