Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 140

Zaburi 140:6-9

Help us?
Click on verse(s) to share them!
6Nilimwambia Yahwe, “Wewe ni Mungu wangu; usikie kilio changu unihurumie.”
7Ee Yahwe, Bwana wangu, wewe ni mwenye nguvu uwezaye kuniokoa; hunifunika ngao kichwa changu siku ya vita.
8Ee Yahwe, usiyatimize matakwa ya waovu; usiruhusu njama zao kufanikiwa. Selah
9Wale wanao nizunguka huinua vichwa vyao; madhara ya midomo yao wenyewe na yawafunike.

Read Zaburi 140Zaburi 140
Compare Zaburi 140:6-9Zaburi 140:6-9