Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 140

Zaburi 140:12-13

Help us?
Click on verse(s) to share them!
12Ninajua kuwa Yahwe atahukumu kwa haki walioteswa, na kuwa atawapa haki wahitaji.
13Hakika watu wenye haki watalishukuru jina lako; watu wanyoofu wataishi uweponi mwako.

Read Zaburi 140Zaburi 140
Compare Zaburi 140:12-13Zaburi 140:12-13