4Atawaadhibu kwa mishale ya shujaa iliyo nolewa kwa makaa ya moto ya mretemu.
5Ole wangu mimi kwa sababu ninaishi kwa muda Mesheki; huko nyuma niliishi kati ya maskani ya Kedari.
6Kwa muda mrefu sana niliisha na wale waichukiao amani.
7Nipo kwa ajili ya amani, lakini ninenapo, wao wako kwa ajili ya vita.