9Hakika wokovu wake u karibu na wale wanao mwabudu yeye; kisha utukufu utabaki katika nchi yetu.
10Uaminifu wa agano na uaminifu vimekutana pamoja; haki na amani vimebusiana.
11Uaminifu unatoa chemchem kutoka ardhini, na haki hutazama chini kutoka mawinguni.