Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 66

Zaburi 66:16-20

Help us?
Click on verse(s) to share them!
16Njoni, msikie, ninyi nyote mnao mwabudu Mungu, nami nitatangaza yale yeye aliyoitendea roho yangu.
17Nilimlilia kwa kinywa changu, naye alipendezwa na ulimi wangu.
18Kama ningelikuwa na dhambi ndani ya moyo wangu, Bwana asingenisikiliza.
19Lakini Mungu hakika amesikia; amesikia sautiya kuomba kwangu.
20Atukuzwe Mungu, ambaye hakuyakataa maombi yangu wala kuweka uaminifu wa agano lake mbali nami.

Read Zaburi 66Zaburi 66
Compare Zaburi 66:16-20Zaburi 66:16-20