Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 38

Zaburi 38:2-3

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2Kwa kuwa mishale yako hunichoma, na mkono wako huniangusha chini.
3Mwili wangu wote unaumwa kwa sababu ya hasira yako; kwa sababu ya dhambi zangu mifupa yangu haina afya.

Read Zaburi 38Zaburi 38
Compare Zaburi 38:2-3Zaburi 38:2-3