1Usikereshwe na wafanyao maovu; usiwaonee wivu wale watendao yasiyo haki.
2Kwa kuwa muda mfupi watakauka kama nyasi na kukauka kama vile mimea ya kijani ikaukavyo wakati wa kiangazi.
3Uwamini Mungu na kufanya yaliyo mema; uishi katika nchi na uongezeke katika imani.