Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 32

Zaburi 32:9-10

Help us?
Click on verse(s) to share them!
9Msiwe kama farasi au kama nyumbu, ambao hawana uelewa; ni kwa hatamu na lijamu tu unaweza kuwapeleka popote utakapo wao waende.
10Waovu wanahuzuni nyingi, bali uaminifu wa agano la Yahwe utamzunguka yule anaye mwamini yeye.

Read Zaburi 32Zaburi 32
Compare Zaburi 32:9-10Zaburi 32:9-10