Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 32

Zaburi 32:10-11

Help us?
Click on verse(s) to share them!
10Waovu wanahuzuni nyingi, bali uaminifu wa agano la Yahwe utamzunguka yule anaye mwamini yeye.
11Furahini katika Yahwe, na mshangilie, ninyi wenye haki; pigeni kelele za shangwe, ninyi nyote wenye haki mioyoni mwenu.

Read Zaburi 32Zaburi 32
Compare Zaburi 32:10-11Zaburi 32:10-11