Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 29

Zaburi 29:10-11

Help us?
Click on verse(s) to share them!
10Yahwe hukaa kama mfalme juu ya mafuriko; Yahwe hukaa kama mfalme milele.
11Yahwe huwatia nguvu watu wake; Yahwe huwa bariki watu wake na amani.

Read Zaburi 29Zaburi 29
Compare Zaburi 29:10-11Zaburi 29:10-11