Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 25

Zaburi 25:20-22

Help us?
Click on verse(s) to share them!
20Uyalinde maisha yangu na uniokoe; usiniache niaibishwe, Kwa kuwa kwako nakimbilia usalama!
21Uadilifu na unyofu vinihifadhi, kwa kuwa nina kutumainia wewe.
22Mungu, uiokoe Israeli, na shida yake yote!

Read Zaburi 25Zaburi 25
Compare Zaburi 25:20-22Zaburi 25:20-22