Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 146

Zaburi 146:1-3

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Msifu Yahwe. Msifu Yahwe, ee nafsi yangu.
2Ninamsifu Mungu maisha yangu yote; nitamuimbia sifa Mungu wangu ni ngali ni hai.
3Msiweke imani katika wakuu au wanadamu, ambaye katika yeye hamna wokovu.

Read Zaburi 146Zaburi 146
Compare Zaburi 146:1-3Zaburi 146:1-3