Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 141

Zaburi 141:2-3

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2Maombi yangu na yawe kama uvumba mbele zako; mikono yangu iliyoinuliwa na iwe kama dhabihu ya jioni.
3Ee Yahwe, uweke mlinzi kinywani mwangu; mngojezi malangoni pa midomo yangu.

Read Zaburi 141Zaburi 141
Compare Zaburi 141:2-3Zaburi 141:2-3