Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 140

Zaburi 140:1-2

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Yahwe, uniokoe dhidi ya waovu; unikinge dhidi ya watu wenye vurugu.
2Wao wanapanga uovu mioyoni mwao; wanasababisha mapigano kila siku.

Read Zaburi 140Zaburi 140
Compare Zaburi 140:1-2Zaburi 140:1-2