2Tulitundika vinubi vyetu kwenye miti ya Babylon.
3Huko watekaji wetu walitaka tuwaimbie, na wale walio tudhihaki walitutaka sisi tufurahi, wakisema, “Tuimbieni moja ya nyimbo za Sayuni.”
4Tungewezaje kuimba wimbo unaomuhusu Yahwe katika nchi ya ugeni?