Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 137

Zaburi 137:1-4

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Kando ya mito ya Babeli tuliketi na tulilia tulipokumbuka kuhusu Sayuni.
2Tulitundika vinubi vyetu kwenye miti ya Babylon.
3Huko watekaji wetu walitaka tuwaimbie, na wale walio tudhihaki walitutaka sisi tufurahi, wakisema, “Tuimbieni moja ya nyimbo za Sayuni.”
4Tungewezaje kuimba wimbo unaomuhusu Yahwe katika nchi ya ugeni?

Read Zaburi 137Zaburi 137
Compare Zaburi 137:1-4Zaburi 137:1-4