Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mithali - Mithali 16

Mithali 16:24-32

Help us?
Click on verse(s) to share them!
24Maneno yenye kufaa ni sega la asali -matamu kwenye nafsi na huponya mifupa.
25Kuna njia ambayo huonekana sawa kwa mtu, bali mwisho wake ni njia ya mauti.
26Hamu ya kibarua humfanyia kazi; njaa yake humsihi kuendelea.
27Mtu duni huchimba madhara na usemi wake ni kama moto unaounguza.
28Mtu mkaidi huchochea mafarakano na umbeya huwafarakanisha marafiki.
29Mtu wa vurugu humdanganya jirani yake na kumwongoza kwenye mapito ambayo si mema.
30Yule anayekonyeza kwa jicho anapanga njama za mambo ya ukaidi; wenye kuandama midomo yao watapitisha mabaya.
31Mvi ni taji ya utukufu; hupatikana kwa kuishi katika njia ya haki.
32Ni bora kukawia kuwa na hasira kuliko kuwa shujaa na mwenye kutawala roho yake ni imara zaidi kuliko yule anayeuteka mji.

Read Mithali 16Mithali 16
Compare Mithali 16:24-32Mithali 16:24-32