Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Ezekieli - Ezekieli 24

Ezekieli 24:15-18

Help us?
Click on verse(s) to share them!
15Kisha neno la Yahwe likanijia, kusema,
16“mwanadamu! Tazama, ninachukua tamaa ya macho yako kutoka kwako pamoja na tauni, lakini hutaomboleza wala kulia, na machozi yako hayatatoka.
17Utagugumia bila kusikika. Usiendeshe mazishi kwa ajili ya aliyekufa. Funga kilemba chako juu yako na vaa makubazi miguuni pako, lakini usivalishe shela nywele zako au kula mkate wa watu waombolezao kwa ajili ya kuwapoteza wake zao.”
18Hivyo nimeongea na watu asubuhi, na mke wangu amekufa asubuhi. Asubuhi nimefanya kile nilichokuwa nimeambiwa kukifanya.

Read Ezekieli 24Ezekieli 24
Compare Ezekieli 24:15-18Ezekieli 24:15-18