Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mithali - Mithali 14

Mithali 14:33-35

Help us?
Click on verse(s) to share them!
33Hekima hukaa katika moyo wa ufahamu, bali hata miongoni mwa wapumbavu hujiachilia mwenyewe kwa kujulikana
34Kutenda haki huliinua taifa, bali dhambi ni chukizo kwa watu wowote.
35Fadhila ya mfalme ni kwa mtumishi mwenye kutenda kwa hekima, bali hasira yake ni kwa yule atendaye kwa kuaibisha.

Read Mithali 14Mithali 14
Compare Mithali 14:33-35Mithali 14:33-35