Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Hesabu - Hesabu 18

Hesabu 18:24-27

Help us?
Click on verse(s) to share them!
24Kwa kuwa zaka za wana wa Israeli, wanazotoa kama mchango kwangu -ndivyo hivyo ambavyo nimewapa Walawi kuwa urithi wao. Hiyo ndiyo sababu ya kuwaambia, Kuwa hawatakuwa na urithi kati ya watu wa Israeli.
25BWANA akanena na Musa, akamwambia,
26“Inakupasa ukaseme na Walawi uwaambie, 'Mnapopokea zaka toka kwa watu ambayo BWANA amewapa kutoka kwao kuwa urithi, ndipo na nyie mtakapotoa sehemu ya kumi ya zaka hizo.
27Zaka yenu itahesabika kama moja ya mapato ya sakafu ya kupuria nafaka ya mazao yenu au mazao ya vinu vya kukamulia zabibu.

Read Hesabu 18Hesabu 18
Compare Hesabu 18:24-27Hesabu 18:24-27