Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - 2 Wafalme - 2 Wafalme 20

2 Wafalme 20:2-4

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2Kisha Ahazi akageuza uso wake kwenye ukuta na kumuomba Yahwe, akisema,
3“Tafadhali, Yahwe, ukumbuke jinsi nilivyo mwaminifu kutembea mbele yako kwa moyo wangu wote, na jinsi nilivyofanya yaliyo mazuri usoni kwako.” Kisha Hezekia akalia kwa sauti.
4Kabla ya Isaya hajatoka nje kwenye mji wa kati, neno la Yahwe likamjia, kusema,

Read 2 Wafalme 202 Wafalme 20
Compare 2 Wafalme 20:2-42 Wafalme 20:2-4