Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Kutoka - Kutoka 20

Kutoka 20:3-5

Help us?
Click on verse(s) to share them!
3Msiwe na miungu mingine ila mimi tu.
4Msijitengenezee sanamu za kuchonga kufananisha na kitu chochote kilichopo juu ya mbingu, chini ya ardhi, au ndani ya maji.
5Msipinde na kuabudu sanamu, mimi Yahweh Mungu wenu, ni Mungu mwenye wivu. Nitaadhibu uovu wa mabubu kwa kuleta adhabu juu ya kizazi, cha tatu hadi kizazi cha nne kwa wale wanao nichukia.

Read Kutoka 20Kutoka 20
Compare Kutoka 20:3-5Kutoka 20:3-5