Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Warumi - Warumi 6

Warumi 6:10-12

Help us?
Click on verse(s) to share them!
10Maana kwa habari ya kifo alichokufa kwa dhambi, alikufa mara moja kwa ajili ya wote. Hata hivyo, maisha anayoishi, anaishi kwa ajili ya Mungu.
11Kwa njia iyo hiyo, nanyi pia mnapaswa kujihesabu kuwa wafu katika dhambi, bali hai kwa Mungu katika Kristo Yesu.
12Kwa sababu hiyo usiruhusu dhambi itawale mwili wako ili kusudi uweze kuzitii tamaa zake.

Read Warumi 6Warumi 6
Compare Warumi 6:10-12Warumi 6:10-12