Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Warumi - Warumi 10

Warumi 10:8-14

Help us?
Click on verse(s) to share them!
8Lakini inasema nini? “Neno liko karibu na wewe, katika kinywa chako na katika moyo wako.” Hilo ni neno la imani, ambalo tunatangaza.
9Kwa kuwa kama kwa kinywa chako unamkiri Yesu ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako kwamba Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka.
10Kwa kuwa kwa moyo mtu huamini na kupata haki, na kwa kinywa hukiri na kupata wokovu.
11Kwa kuwa andiko lasema, “Kila amwaminiye hata aibika.”
12kwa kuwa hakuna tofauti kati ya Myahudi na Myunani. Kwa kuwa Bwana yule yule ni Bwana wa wote, na ni tajiri kwa wote wamwitao.
13Kwa kuwa kila mtu ambaye huliitia jina la Bwana ataokoka.
14Kwa jinsi gani wanaweza kumwita yeye ambaye hawajamwamini? Na jinsi gani wanaweza kuamini katika yeye ambaye hawajamsikia? Na watasikiaje pasipo muhubiri?

Read Warumi 10Warumi 10
Compare Warumi 10:8-14Warumi 10:8-14