Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Matendo ya Mitume - Matendo ya Mitume 8

Matendo ya Mitume 8:38-40

Help us?
Click on verse(s) to share them!
38Walikwenda ndani ya maji, pamoja Filipo na towashi, Filipo akambatiza.
39Wakati walipotoka kwenye maji, Roho wa Bwana ikampeleka Filipo mbali; towashi hakumwona, akaenda njia yake akishangilia.
40Lakini Philipo akatokea Azoto. Alipita katika mkoa ule na kuhubiri injili katika miji yote mpaka alipofika Kaisaria.

Read Matendo ya Mitume 8Matendo ya Mitume 8
Compare Matendo ya Mitume 8:38-40Matendo ya Mitume 8:38-40