Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - 1Wafalme - 1Wafalme 21

1Wafalme 21:9-10

Help us?
Click on verse(s) to share them!
9Katika ile barua aliyoandika, ilisema hivi, “Pigeni mbiu ya kufunga mkamkalishe Nabothi juu mbele ya watu.
10Pia mwaweke watu wawili wasiokuwa waaminifu pamoja naye na wale watu watoe ushahidi kinyume naye, waseme, 'Ulimlaani Mungu na mfalme.” Halafu mchukueni nje mkampige kwa mawe mpaka afe.

Read 1Wafalme 211Wafalme 21
Compare 1Wafalme 21:9-101Wafalme 21:9-10