Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

1Wafalme 21:9-10 in Swahili (individual language)

Help us?

1Wafalme 21:9-10 in Biblia ya Kiswahili

9 Katika ile barua aliyoandika, ilisema hivi, “Pigeni mbiu ya kufunga mkamkalishe Nabothi juu mbele ya watu.
10 Pia mwaweke watu wawili wasiokuwa waaminifu pamoja naye na wale watu watoe ushahidi kinyume naye, waseme, 'Ulimlaani Mungu na mfalme.” Halafu mchukueni nje mkampige kwa mawe mpaka afe.
1Wafalme 21 in Biblia ya Kiswahili