Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - 1Wafalme - 1Wafalme 18

1Wafalme 18:2-3

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2Eliya akaenda kujionyesha mwenyewe kwa Ahabu; sasa njaa ilikuwa kali sana kule Samaria.
3Ahabu akamwita Obadia, aliyekuwa mkuu wa ikulu. Obadia alimheshimu sana BWANA,

Read 1Wafalme 181Wafalme 18
Compare 1Wafalme 18:2-31Wafalme 18:2-3