Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Warumi - Warumi 1

Warumi 1:16-18

Help us?
Click on verse(s) to share them!
16Kwa maana siionei haya injili, kwa kuwa ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza na kwa Myunani pia.
17Kwa maana haki ya Mungu imedhihirishwa kutoka imani hata imani, kama ilivyo andikwa, “Mwenye haki ataishi kwa imani.”
18Maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni dhidi ya uasi na uovu wote wa watu, ambao kwa njia ya udhalimu huificha kweli.

Read Warumi 1Warumi 1
Compare Warumi 1:16-18Warumi 1:16-18