Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Waamuzi - Waamuzi 7

Waamuzi 7:15-17

Help us?
Click on verse(s) to share them!
15Gideoni aliposikia habari ya ile ndoto na tafsiri yake, akainama chini na kuabudu. Alirudi kwenye kambi ya Israeli na kusema, “Simameni! Bwana ametupa ushindi juu ya jeshi la Midiani.”
16Akawagawa watu mia tatu katika makundi matatu, na akawapa tarumbeta zote na mitungi tupu, na taa ndani ya kila mtungi.
17Akawaambia, 'Niangalieni mimi na kufanya yale ninayoyafanya. Tazama! Ninapofika kwenye mwisho wa kambi, ni lazima mfanye kile ninachofanya.

Read Waamuzi 7Waamuzi 7
Compare Waamuzi 7:15-17Waamuzi 7:15-17