Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Luka - Luka 15

Luka 15:26-28

Help us?
Click on verse(s) to share them!
26Akaita mtumishi mmoja akamuuliza mambo haya maana yake nini?
27Mtumishi akamwambia mdogo wako amekuja na baba yako amemchinjia ndama aliyenona kwa sababu amerudi salama.'
28Mwana mkubwa akakasirika akakataa kuingia ndani na babaye alitoka nje kumsihi.

Read Luka 15Luka 15
Compare Luka 15:26-28Luka 15:26-28