Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Yohana - Yohana 4

Yohana 4:39-43

Help us?
Click on verse(s) to share them!
39Wasamaria wengi katika mji ule walimwani kwa sababu ya taarifa ya yule mwanamke aliyekuwa akishuhudia, 鈥淎liyeniambia mambo yote niliyoyafanya.鈥
40Hivyo Wasamaria walipokuja walimsihi akae pamoja nao na akakaa kwao kwa siku mbili.
41Na wengi zaidi wakamwamini kwa sababu ya neno lake.
42Wakamwambia yule mwanamke, 鈥淭unaamini sio tu kwa maneno yako, kwa sababu sisi wenyewe tumesikia, na sasa twafahamu kuwa hakika yeye ni mwokozi wa ulimwengu.鈥
43Baada ya siku hizo mbili, akaondoka na kuelekea Galilaya.

Read Yohana 4Yohana 4
Compare Yohana 4:39-43Yohana 4:39-43