Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Waamuzi - Waamuzi 19

Waamuzi 19:16-17

Help us?
Click on verse(s) to share them!
16Lakini mtu mzee alikuwa akija kutoka kazini kwake katika shamba jioni hiyo. Alikuwa kutoka mlima wa Efraimu, naye alikuwa akikaa kwa muda huko Gibea. Lakini watu wanaoishi mahali hapo walikuwa Wabenyamini.
17Aliinua macho na kumwona msafiri katika njia kuu ya jiji. Huyo mzee akasema, “Unakwenda wapi? Unatoka wapi?”

Read Waamuzi 19Waamuzi 19
Compare Waamuzi 19:16-17Waamuzi 19:16-17