Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Waamuzi - Waamuzi 11

Waamuzi 11:11-12

Help us?
Click on verse(s) to share them!
11Yeftha akaenda pamoja na wazee wa Gileadi, nao watu wakamfanya awe msimamizi na mkuu juu yao. Alipokuwa mbele ya Bwana huko Mizpa, Yeftha akarudia ahadi zote alizozifanya.
12Ndipo Yeftha akatuma wajumbe kwa mfalme wa wana wa Amoni, akisema, “Ni nini mgogoro huu kati yetu? Kwa nini umekuja kwa nguvu kuchukua ardhi yetu?”

Read Waamuzi 11Waamuzi 11
Compare Waamuzi 11:11-12Waamuzi 11:11-12