Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mathayo - Mathayo 5

Mathayo 5:13

Help us?
Click on verse(s) to share them!
13Ninyi ni chumvi ya dunia. Lakini kama chumvi imepoteza ladha yake, itawezaje kufanyika chumvi halisi tena? Kamwe haiwezi kuwa nzuri kwa kitu kingine chochote tena, isipokuwa ni kutupwa nje na kukanyagwa na miguu ya watu.

Read Mathayo 5Mathayo 5
Compare Mathayo 5:13Mathayo 5:13