Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mathayo 5:13 in Swahili (individual language)

Help us?

Mathayo 5:13 in Biblia Takatifu

13 “Ninyi ni chumvi ya dunia! Lakini chumvi ikipoteza ladha yake itakolezwa na nini? Haifai kitu tena, ila hutupwa nje na kukanyagwa na watu.
Mathayo 5 in Biblia Takatifu

Mathayo 5:13 in Biblia ya Kiswahili

13 Ninyi ni chumvi ya dunia. Lakini kama chumvi imepoteza ladha yake, itawezaje kufanyika chumvi halisi tena? Kamwe haiwezi kuwa nzuri kwa kitu kingine chochote tena, isipokuwa ni kutupwa nje na kukanyagwa na miguu ya watu.
Mathayo 5 in Biblia ya Kiswahili