13Mtu mmoja katika kusanyiko akamwambia, 鈥淢walimu, mwambie ndugu yangu anigawie sehemu ya uruthi wangu.鈥
14Yesu akamjibu, ni nani aliye niweka kuwa mwamuzi na mpatanishi kati yenu.?
15Ndipo akawaambia, Jihadharini na kila namna ya tamaa, kwa sababu uzima wa mtu hauko katika wingi wa vitu alivyo navyo.鈥
16Yesu akawaambia mfano, akisema, Shamba la mtu mmoja tajiri lilizaa sana,